Sale
48874_CBC_Kiswahili_Dadis_TG4-COVER_0-scaled

Kiswahili Dadisi Mwongozo Wa Mwalimu

0 customer reviews

Original price was: KSh 800.00.Current price is: KSh 730.00.

Compare
Category:
Kiswahili Dadisi Mwongozo Wa Mwalimu
Original price was: KSh 800.00.Current price is: KSh 730.00.

Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa.

Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

‘Kiswahili Dadisi’, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi 4, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa.

Katika mwongozo huu, utapata:

  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi.
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
  • Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilis

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Mwongozo Wa Mwalimu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Select at least 2 products
to compare