Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1
Rated 0 out of 5
0 customer reviews

Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vitivyoandikwa kwa utaatamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtataa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevite Sarufi. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya I , utapata:
- mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
- mifano halisi ya miktadha ambayo lugha hutumika.
- mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuti za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
- mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
- mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya I king Mwongozo wa Mwatimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwatimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtataa huu mpya wa umilisi.
Oxford, mshirika wako katika ufanisi!
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1” Cancel reply
Related Products
BOBEA KISWAHILI GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
BOOKMARK ENVIROMENTAL ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
AKILI PEVU KISWAHILI ANGAZA GRADE 1 EAEP
Rated 0 out of 5
(0)
BEGINNING MOVEMENT ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CREATIVE ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHOUGH WORKBOOK VOLUME 2 GRADE 1 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION ENGLISH GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CBC CADENZA ENCYCLOPEDIA GRADE1
Rated 0 out of 5
(0)
BEGINNING CREATIVE GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CBC LEARNERS PROGRESS ASSESSMENT BOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CONQUER COMPOSITION WORKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
BOOKMARK MATHEMATICAL ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CBC ENCYCLOPAEDIA GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
ATFAAL IRE ACTIVITY GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION ENGLISH WORKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CONQUER GRAMMAR WORKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CRE GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CONQUER COMPREHENSION WRKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)


There are no reviews yet.