Sale
8A-Kisasi-Hapana_0

Kisasi Hapana

0 customer reviews

Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Compare
Category:
Kisasi Hapana
Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Kisasi Hapana!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.

Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na vijijini, michezo, afya, umuhimu wa elimu, kuwaheshimu watu wazima na wazazi, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu na haki za watoto.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kisasi Hapana”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Select at least 2 products
to compare