Sale!
Sale!
Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio
Original price was: KSh927.00.KSh835.00Current price is: KSh835.00.
Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio
KSh927.00 Original price was: KSh927.00.KSh835.00Current price is: KSh835.00.
Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio
Kamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4)Â ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
ISBN: 9789987020973
Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.
ISBN: 9780195746167
Msingi bora wa maneno kwa watoto wadogo. Kamusi ya kuaminika ya kuanzia kujifunza lugha ya kiswahili.
Maneno muhimu 1700 na zaidi ya Kiswahili
Maelezo wazi ya maneno. Mifano ya namna maneno yanavyotumiwa katika sentensi
Zaidi ya picha 700 za rangi kumsaidia mtoto kuelewa maana za maneno.
Sehemu maalumu ya mchezo wa lugha na mazoezi
ISBN: 996361405
Reviews
There are no reviews yet.