Junior English Book 1
KSh700.00 Original price was: KSh700.00.KSh644.00Current price is: KSh644.00.
Related products
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 2 by KLB
KSh416.66Original price was: KSh416.66.KSh375.00Current price is: KSh375.00.Add to cartKLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652140
-
Rated 0 out of 5
Queenex Premier Mathematics GD2 Wkbk
KSh433.33Original price was: KSh433.33.KSh390.00Current price is: KSh390.00. -
Rated 0 out of 5
Moran Grow in Faith Bible Stories Activities Book Grade 3
KSh460.00Original price was: KSh460.00.KSh395.00Current price is: KSh395.00.Add to cartMoran Grow in Faith Bible Stories Activities Book Grade 3
ISBN: 9789966631886 SKU: 2010130000451
-
Rated 0 out of 5
Queenex Premier Kiswahili Grade 2 Mazoezi
KSh433.33Original price was: KSh433.33.KSh390.00Current price is: KSh390.00.Add to cartPremier Kiswahili Kitabu cha Mazoezi Gredi ya 2 ni kitabu cha mazoezi kilichoambatanishwa na Mtaala Mpya wa Elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata maarifa, ustadi, maadili, mitazamo na umilisi ambao utaunda msingi wa dhana…
-
Rated 0 out of 5
Great minds Encyclopaedia Grade 1
KSh1,161.11Original price was: KSh1,161.11.KSh1,045.00Current price is: KSh1,045.00.
Reviews
There are no reviews yet.