Sale
Hidaya-3.webp

Hidaya Yangu

Hidaya Yangu
ISBN: 978 9966 63 133 6
Mwandishi: John Habwe
Hidaya Yangu ni hadithi ya Dena ya kujisaka ili kujielewa anapojipata anatapatapa katika ulimwengu uliojaa masaibu mengi, ubaguzi na maudhi ya kutokuwa na mama wala baba.
Ni hadithi ya kuchukiza, kuliza na hata Kutamausha. Hata hivyo, Dena anasimama kidete na kupigana dhidi ya changamoto za maisha kufa kupona. Anakataa kukubali kushindwa licha ya doa la usuli wake. Ni hadithi inayosisitiza ukweli kwamba Mungu akikupa kilema hukupa na mwendo pia.
Ni hadithi iliyo na mvuto mkubwa unapoisoma, Inasisimua, inadara, inahoji na wakati huo huo inakushawishi na kukupa ari ya kuisoma tena na tena. Imesimuliwa kiufundi ili kuangazia kinaya na hadaa ziandamazo maisha ya mwanadamu kila uchao.

0 customer reviews

Original price was: KSh 705.00.Current price is: KSh 635.00.

Compare
Category:
Hidaya Yangu
Original price was: KSh 705.00.Current price is: KSh 635.00.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hidaya Yangu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare