Sale
8C-Habari-za-Mawio_0

Habari za Mawio

0 customer reviews

Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Compare
Category:
Habari za Mawio
Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Habari za Mawio’ 8c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na hadithi ndani ya hadithi.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, mbinu rejeshi, vichekesho, utani, sajili (lafudhi) ya lugha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kuwaheshimu watu wote, udugu, utamaduni, kujali wengine, haki na uadilifu, kazi na uwajibikaji, utu, afya (ukimwi, madawa ya kulevya), habari na mawasiliano.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Habari za Mawio”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

2
KSh 425.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

2
Hunchbacked Warrior Moran Grade Level 4 by Pearson

Hunchbacked Warrior Moran Grade Level 4 by Pearson

You Saved 10%
Quantity
KSh 450.00 KSh 405.00
A3 Brown Envelop

A3 Brown Envelop

You Saved 10%
Quantity
KSh 22.23 KSh 20.00
Payment Details
Sub Total KSh 425.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 425.00