Sale
5A-Embe-Tamu-600x831

Embe Tamu

0 customer reviews

Original price was: KSh 390.00.Current price is: KSh 295.00.

Compare
Category:
Embe Tamu
Original price was: KSh 390.00.Current price is: KSh 295.00.

Embe Tamu’ 5a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kisomo kwa kutaiza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tano katika shule za msingi.

Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, vichekesho, tashihisi, mbinu rejeshi, taharuki, picha zenye rangi za kupendeza na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya fasihi simulizi, maumbile na sayansi ya mhusika mkuu embe/mwembe, asili ya vitu, pamoja na maadili mema kama vile subira, uvumilivu na wajibu.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Embe Tamu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare