Sale
BK00000002290

Chiriku na chaki ya Kijani na Hadithi Nyingine

0 customer reviews

Original price was: KSh 340.00.Current price is: KSh 290.00.

Compare
Brands :
Category:
Estimated Delivery :

24 hours

Chiriku na chaki ya Kijani na Hadithi Nyingine
Original price was: KSh 340.00.Current price is: KSh 290.00.

Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari. Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji. Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Chiriku na chaki ya Kijani na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare