38
KSh20,898.00

Cart

38
KSh20,898.00

Cart

Category: Storybooks

Storybooks

Showing 409–432 of 904 results

  • Rated 0 out of 5

    Luseno na Mpira Wake

    Original price was: KSh261.00.Current price is: KSh235.00.

    Luseno na Mpira Wake Mwandishi: Ambaka ISBN: 978 9966 348 85 8 Luseno ana mpira mpya. Luseno anapenda kucheza na mpira wake. Je, Luseno anacheza na nani mpira wake?

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Maafa Kijijini by Mwango

    Original price was: KSh194.00.Current price is: KSh175.00.

    Maafa Kijijini by Mwango ISBN: 9966497501

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Maajabu ya Sudi by Mbagga

    Original price was: KSh244.00.Current price is: KSh220.00.

    Sudi ni mvulana aliye na sifa za kiajabuajabu tangu anapozaliwa. Anazaliwa usiku wa manane, anatabasamu na ana sura jamali. Anapoanza kukua, anawashangaza wazazi na ndugu zake kwa jinsi anavyoelewa na kufanya mambo kwa haraka tofauti na watoto wengine. Vitendo vya Sudi pia vinawashangaza wanakijiji. Mambo mengi anayoyafanya Sudi yanawafanya watu kuamini kuwa yeye si mvulana wa kawaida. JE, Ni mambo yapi anayoyafanya Sudi na yanayowashangaza wengi?

    ISBN : 9789966342690

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Maajilio ya Mkombozi

    Original price was: KSh611.00.Current price is: KSh550.00.

    Majilio ya Mkombozi Mwandishi: Mwenda Mbatiah ISBN: 978 9966 34 981 1 Majilio ya Mkombozi ni hadithi ya vijana wawili wenye vipawa vipevu na wanaojiamini. Vijana hawa wanahusika katika jasira mbalimbali ambazo zinatokana na ushindani kati yao.

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Mabandia (Oxford) by Ali Attas

    Original price was: KSh438.34.Current price is: KSh435.00.

    Mabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura_ mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. Kupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalimbali, mwandishi anagubika …

    Mabandia (Oxford) by Ali AttasRead More

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Macheo by Zuhura Asman

    Original price was: KSh272.23.Current price is: KSh245.00.

    Nilijinyanyua polepole kutoka sakafuni huku nikilia kwa kwikwi. Nilijipangusa kwa utaratibu.Kaptura yangu isingetakata kwani ilikuwa ya rangi iliyong’aa kama mbalamwezi.Nilipopita kwenda kuketi,nilimwona Safari akiniangalia kwenye makalio.Aliangua kicheko cha kuogofya kilicholitetemesha darasa zima.Wanafunzi nao wakaanza kucheka. Kaptura yangu ilijaa vumbi kwelikweli .Nilisonya tu na kujipweteka kitini huku nikikiangalia kitabu changu cha Hisabati ISBN: 2010143000770

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Machi in Big Trouble 3g by Oxford

    Original price was: KSh278.00.Current price is: KSh250.00.
  • Rated 0 out of 5

    Madalala abadilika by Rebecca Nandwa

    Original price was: KSh211.12.Current price is: KSh190.00.

    Awali, mvulana Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni,Wanafunzi wenzake walimbagua na kukataa kucheza naye . Siku moja alikuwa mgonjwa. Alipopelekwa hospitalini, daktari aligundua kwamba maradhi yake yalitokana na uchafu. Alimshauri kuhusu umuhimu wa usafi. Soma zaidi kufahamu jinsi kinga ni bora kuliko tiba. ISBN: 9789966788184

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Madam King by Elsa Geylan

    Original price was: KSh355.00.Current price is: KSh320.00.

    Maza kingdom has very strict traditions, among them that a king can only be inherited by a son. When King Gustav dies, the son who would have inherited the kingdom, Frederick, is away studying in America. Only his sister Clavidia is home, but she cannot take the reins of power. This would mean that an evil cousin, Japheth, would be given the opportunity. Clavidia knows it will be disastrous for Maza with Japheth as king. What can she do? Read for yourself and find out!

     

    ISBN: 9789966075659

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: A Gift to Grandfather Level 3 by ZAWADI

    Original price was: KSh305.56.Current price is: KSh275.00.

    Maya and her brother Kirui visit their grandfather. They find him using a stick cut from a tree branch to support himself. Maya thinks that the stick is too weak but Kirui and grandfather believe that the stick is just okay. Maya is not satisfied. She thinks her grandfather deserves a brand-new crutch. How will she raise the money to buy one?

    ISBN: 9789914988840

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: A Trip to Hazina park Level 2 by WANYONYI

    Original price was: KSh277.78.Current price is: KSh250.00.

    Father wants to take Niva and Nani to the park. Niva wakes up late. Nani has dark patches on his head. What will happen to their Trip?

    ISBN: 9789914988789

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: A Trip to Hazina park Level 2 by WANYONYI

    Original price was: KSh277.78.Current price is: KSh250.00.

    Father wants to take Niva and Nani to the park. Niva wakes up late. Nani has dark patches on his head. What will happen to their Trip?

    ISBN: 9789914988789

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: Balozi in trouble again Level 4 by IHAJI

    Original price was: KSh333.00.Current price is: KSh300.00.

    Balozi always want to impress his friends. This puts him in trouble every time. He uses his creativity and imagination skills to get out of trouble and to prove himself to his peers. Read these three captivating short stories to find out how he tackles the different challenges he encounters.

     

    ISBN: 9789966191311

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: Dereva wa Gari Jekundu level 1

    Original price was: KSh250.00.Current price is: KSh225.00.

    Toma na Bella wanataka kwenda_ shuleni. Wanaona gari jekundu karibu na nyumbani kwao.

    Dereva wa gari hilo anajitolea kuwapeleka shuleni. Je, dereva ana nia gani? Je, Toma na Bella watakubali awapeleke shuleni?

    ISBN: 9789966191380

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: Imani’s adventure in the Village Level 3 by KIRITU

    Original price was: KSh305.00.Current price is: KSh275.00.

    Imani likes exploring his environment. He wonders where the food they eat in the city comes from. He visits the village for the first time to find out for himself. Join Imani in his adventure!

    ISBN: 9789914988833

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: Maria taabani by MWANGI

    Original price was: KSh277.78.Current price is: KSh250.00.

    Maria ana mazoea ya kulala hadi Mama amwamshe. Maria pia husahau kufanya kazi zake za shule hadi Mama amkumbushe. Mama anaenda safari ya mbali. Chacha ambaye ni kakake Maria anataka kumfunza Maria adabu kwa kukosa kumtii. Je, Maria atafanya nini ili asijipate taabani? ISBN: 9789914988819

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Made Familiar: Miembe ya Ajabu Level 3 by ZAWADI

    Original price was: KSh305.56.Current price is: KSh275.00.

    Toma ananunua miche ya miembe. Bela hapendi miembe hiyo lakini Toma anaipanda. Toma anatunza miembe yake vizuri lakini miembe haikui. Mama na Baba wanasema miembe hiyo si ya kawaida. Je, ni miembe ya aina gani? ISBN: ZAWADI

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Majasusi chipukizi 3a

    Original price was: KSh350.00.Current price is: KSh315.00.

    Malaika na Baraka wamezoea kumwona ombaomba mbele ya duka la Bwana Pembe kila wanapopita hapo. Wenyeji hawajui jina halisi
    la ombaomba huyo kwa hivyo wamembandika jina ‘Masumbuko’. Asubuhi moja, Malaika na Baraka wanamwona Masumbuko akiwa amejiku
    nyata kama kuku aliyenyeshewa. Wanapomdadisi, anawaambia kuwa alivamiwa na chokora. Wanamshawishi baba yao, ambaye ni daktari,
    amsaidie Masumbuko apate matibabu ya bure. Masumbuko anasitasita anapoambiwa wazo hilo la kutibiwa. Je, kulikoni? Hali hii
    inawachochea Malaika na Baraka kufanya uchunguzi ili kufumbua asili yake Masumbuko. Je, watafaulu?

    ISBN: 9789966347978

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Making the team

    Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh420.00.

    When her parents separate and her mother has an accident, Sixteen year old Jessica has to become the family’s provider. She juggles odd jobs and her passion for football, hoping that her talent as a football player will earn her a scholarship that will enable her to go back to school. But when her dream is finally within her reach, she finds herself entangled in a scandal and realizes that she may miss an incredible opportunity just because she is a girl.

    Author:
    Erick Livumbazi Ngoda

    ISBN: 9789966622891

    Add to cart
  • Rated 0 out of 5

    Makovu ya Uhai

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.
  • Rated 0 out of 5

    Makumba katika Siri ya Mwembe

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.
  • Rated 0 out of 5

    Makumba na Selidamu Nyeupe

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.
  • Rated 0 out of 5

    Mali ya Maskini

    Original price was: KSh711.00.Current price is: KSh640.00.
  • Rated 0 out of 5

    Malipo ya Ukaidi

    Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh420.00.

    Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha

    Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuwa watiifu kila wakati kwa

    sababu uchaguzi una matokeo

    Kilo na Meme wanapenda kuogelea. Mama anapoondoka kwenda sokoni, wanaamua kwenda mtoni bila ruhusa yake. Je, watakumbana na nini mtoni?

    Author:
    Charles Isadiah
    Add to cart
38
KSh20,898.00

Cart

Call Us