Sale
2010129000024

Bustani ya Edeni

0 customer reviews

Original price was: KSh 520.00.Current price is: KSh 420.00.

Compare
Category:
Bustani ya Edeni
Original price was: KSh 520.00.Current price is: KSh 420.00.

Bustani ya Edeni ni riwaya tamu inayorejelea mazingira yajana, leo na kesho yaliyoghasiwa na binadamu kwa tamaa / na uchu wa kuumba huku nguvu zake zikiumbua. Usafi unajikunja na uchafu unajikunjua; maji hayanyweki, hewa haivutiki, chakula hakiliki – yote haya kwa pupa ya maendeleo.Kisha’Franco’; ngozi kuchubuka, vichwa kuwanga, miti kukauka na serikali jicho kafumba. Jitihada za Jonalisti zinapigwa vita moto mmoja.Pasta yona wa yona anajitoa mhanga kwa damu na uhai kuokoa hali hii, tayari propaganda imekolea magazetini, redioni, vikaoni kanisani, propaganda ya kuufumba umma macho… kweli mam bo yametumbukia nyongo.Hii ni riwaya yenye kusuta na kuvuta fikira na kila mmoja ataisaka.Profesa Emmanuel Mbogo ni mhadhiri wa fasihi mwenye mkono mpevu katika uandishi.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Bustani ya Edeni”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare