musa-na-watekanyara

Musa Na Watekanyara

0 customer reviews

Compare
Category:
Musa Na Watekanyara

Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile… Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni – hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao.

‘Musa na Watekanyara’ ni kitabu cha nne katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Musa Na Watekanyara”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare