Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 8
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
KSh 1,005.00 Original price was: KSh 1,005.00.KSh 905.00Current price is: KSh 905.00.

Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 8
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina:
- Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimkutadha
- Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika
- Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa
- Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi
- Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
- Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
- Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 8” Cancel reply
Related Products
CONQUER COMPOSITION WORKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHOUGH WORKBOOK VOLUME 2 GRADE 1 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)
BOBEA KISWAHILI GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CBC ENCYCLOPAEDIA GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
BEGINNING CREATIVE GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CONQUER GRAMMAR WORKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
AKILI PEVU KISWAHILI ANGAZA GRADE 1 EAEP
Rated 0 out of 5
(0)
ATFAAL IRE ACTIVITY GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
BEGINNING MOVEMENT ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
BOOKMARK MATHEMATICAL ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CONQUER COMPREHENSION WRKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION ENGLISH WORKBOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHOUGH WORKBOOK VOLUME 1 GRADE 1 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION ENGLISH GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CRE GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
BOOKMARK ENVIROMENTAL ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CREATIVE ACTIVITIES GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)
CBC LEARNERS PROGRESS ASSESSMENT BOOK GRADE 1
Rated 0 out of 5
(0)


There are no reviews yet.