Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
KSh 770.00 Original price was: KSh 770.00.KSh 730.00Current price is: KSh 730.00.

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6
Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Kitabu hiki:
- Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtaala.
- Kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
- Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6” Cancel reply
Related Products
Brands :
Our Lives Today Social Studies Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Everyday Science and Technology Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight Creative Arts Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight CRE Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Growing in Christ CRE Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
New Progressive English Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight Social Studies Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Let’s Do Mathematics Learner’s Book Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight English grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight Science and Technology Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Kiswahili Dadisi Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Mentor Science and Technology Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Modern Agriculture Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight Agriculture grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
Spotlight Mathematics Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)
Kiswahili Dadisi Workbook Grade 6
Rated 0 out of 5
(0)

There are no reviews yet.