Sale
Kiswahili-Dadisi-Kitabu-cha-Mwanafunzi-Gradi-3-Revised-Kiswahili-Dadisi-Activities_LB3-COVER-scaled

Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 3

0 customer reviews

Original price was: KSh 750.00.Current price is: KSh 700.00.

Compare
Category:
Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 3
Original price was: KSh 750.00.Current price is: KSh 700.00.

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3, utapata:

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.

Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Select at least 2 products
to compare