Secondary Breakthrough…

KSh539.00

 

Secondary Breakthrough Kiswahili Kidato 1

Utafiti umethibitisha kwamba wanafunzi huelewa vyema dhana zinazofundishwa wanapohusishwa katika mazoezi yanayochangamsha na kusisimua. Msururu wa Secondary Breakthrough Workbook unafaulisha ukweli huu.

Vitabu katika msururu huu vimeandaliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha kwamba:

  •  Mada zote zimeshughulikiwa kwa king ili kutoa uhakikisho wa matokeo bora katika mitihani.
  •  Vimesheheni mazoezi ainati katika mada zote zilizomo katika silabasi.
  •  Vinaweza kutumiwa nyumbani na darasani; hivyo kuwapa wazazi, walezi, walimu na wanafunzi fursa ya kipekee ya kuchanga bia katika kukuza na kuimarisha stadi muhimu wanazozihitaji wanafunzi ili kupata ufanisi.
  •  Vina mazoezi ya kipekee yanayochachawisha wanafunzi kufikiria ili kuimbuka na ufumbuzi halisi wa masuala tata.
  •  Vinampa mwanafunzi nafasi ya kipekee ya kuweka katika mizani maarifa yake kwani anaweza kufanya mazoezi na kujisahihishia mwenyewe kwa kutumia majibu yalitolewa katika kurasa za nyuma za vitabu hivi.

Vitabu hivi vimeandikwa na walimu wenye tajiriba pana katika kufundisha na kuwaandaa wanafunzi kuikabili mitihani.

Category:

Description

Secondary Breakthrough Kiswahili Kidato 1

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Secondary Breakthrough…”

Your email address will not be published. Required fields are marked *