Sale
REV-Kiswahili-Dadisi_WKB4-COVER-600x850

Kiswahili Dadisi Workbook Grade 4

0 customer reviews

Original price was: KSh 600.00.Current price is: KSh 585.00.

Compare
Category:
Kiswahili Dadisi Workbook Grade 4
Original price was: KSh 600.00.Current price is: KSh 585.00.

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtaala.
  • kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
  • kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Grade 4”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 100.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1
Kasuku Wa Sofi KLB Readers 5 - 8 Years

Kasuku Wa Sofi KLB Readers 5 - 8 Years

You Saved 10%
Quantity
KSh 111.00 KSh 100.00
Payment Details
Sub Total KSh 100.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 100.00